Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Diamé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Diamé (alizaliwa 14 Juni, 1987), anayejulikana pia kama Momo Diamé ni mchezaji wa soka wa kitaalamu aliyestaafu ambaye aliicheza nafasi ya katikati ya uwanja (midfielder).

Ingawa alizaliwa Ufaransa, Diamé aliwakilisha Senegal katika kiwango cha kimataifa na kufanya mechi 31 kabla ya kustaafu kutoka kwenye timu ya taifa mnamo 2017.

Kazi ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Mwanzo wa Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Diamé alizaliwa katika mtaa wa Créteil wa Paris na alichaguliwa kuhudhuria akademia ya Clairefontaine (INF Clairefontaine) kati ya mwaka 2000 na 2003.[1][2]

Hull City

[hariri | hariri chanzo]
Diame akicheza kwa timu ya Hull City A.F.C. mwaka 2014 dhidi ya Everton

Mnamo 1 Septemba, 2014, Diamé alijiunga na Hull City, akisaini mkataba wa miaka mitatu.[3]

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 22 Machi, 2011, Mohamed Diamé alipata mwito wa kwanza kujiunga na Senegal national football team, kwa sababu ana haki ya kucheza kwa taifa hilo kupitia baba yake aliyezaliwa Dakar, Senegal. Alifanya debut yake ya kimataifa baadaye mwezi huo huo.[4]

  1. "Profile" (kwa Kihispania). descubrepromesas. 21 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2011.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Agencia EFE (21 Januari 2008). "Diamé ficha por el Rayo Vallecano". La Voz Digital (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Hull City 2–2 West Ham United". BBC Sport. 15 Septemba 2014. Iliwekwa mnamo 15 Septemba 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Senegal vs. Niger 2–0". Soccerway. Perform Group. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Diamé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.