Mohamed Amin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mohamed Amin
Amezaliwa 29 Agosti 1943(1943-08-29)
29 Agosti 1943(1943-08-29)
Amekufa 23 Novemba 1996 (umri 53)
Komori
Utaifa Mkenya
Kazi yake Mpiga picha na mwandishi wa habari

Mohamed "Mo" Amin (29 Agosti, 1943 - 23 Novemba, 1996) alikuwa mpiga picha maarufu kutoka Kenya. Alijulikana kwa kazi zake kuripoti uhaba wa chakula nchini Ethiopia miaka ya 1983–85.[1]

References[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.moforce.com/moamin.html


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.