Mogakolodi Ngele
Mandhari
Mogakolodi Ngele (alizaliwa 6 Oktoba 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Botswana ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Township Rollers inayoshiriki Ligi Kuu ya Botswana na timu ya taifa ya Botswana kama kiungo. Alijiunga na Bidvest Wits akitokea Mamelodi Sundowns. Alishiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2012.
Mnamo mwaka 2014, alisaini mkataba wa miaka mitano na Mamelodi Sundowns F.C., ingawa alibaki na klabu yake ya wakati huo hadi mwisho wa msimu wa 2014–15. Bidvest Wits baadaye walimsaini tena kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2016–17, ambapo Bidvest Wits na Ngele walishinda taji la Absa Premiership baada ya kuwashinda timu kama Cape Town, Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs.[1] MTN 8 winner with Platinum stars: 2013[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Platinum Stars land Telkom Knockout Cup". Brand South Africa (kwa American English). 2013-12-10. Iliwekwa mnamo 2020-11-14.
- ↑ "Kick Off Magazine". Kick Off. Iliwekwa mnamo 2020-11-14.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mogakolodi Ngele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |