Nenda kwa yaliyomo

Moçâmedes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moçâmedes ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Namibe. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 89,442[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moçâmedes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.