Mnara wa taa wa Ponta do Sinó

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa Ponta do Sinó
Mnara wa taa wa Ponta Do Sinò

Mnara wa taa wa Ponta do Sinó ni mnara wa taa uliopo karibu na Ponta do Sinó,upande wa kusini mwa kisiwa cha Sal, katika nchi ya Cape Verde. Ni karibu kilomita 2km kusini magharibi mwa kituo cha Santa Maria. Mnara huo una pembe nne na una urefu wa mita 9, umetengenezwa kwa saruji; pia una ngazi ya nje na taa. Mnara huu wa taa ulijengwa mnamo mwaka 1892. Mwanzoni mwa mwaka 2013, jengo la pili la mtindo huo lilijengwa na kukamilishwa kabla ya mwaka 2014.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta do Sinó kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.