Mnara wa taa wa kisiwa cha Brothers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa kisiwa cha brothers


Mnara wa Taa Kisiwa cha Brothers ni Mnara wa taa uliojengwa karne ya 19 uliopo katika kisiwa cha Brothers, nchini Misri, kisiwa hicho kinapatikana katikati ya Bahari Nyekundu. Mnara huu ulijengwa na Waingereza mnamo mwaka 1883 na kukarabatiwa mnamo mwaka 1993, ni Mnara wa taa unaoendeshwa na Jeshi la majini la Misri. Eneo hilo mara nyingi hufunguliwa na kuruhusiwa wageni tu walioenda kutembelea na kupanda mnara huo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Brothers Islands Lighthouse". Redseariviera.info. 18 juni 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2015-11-03.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa kisiwa cha Brothers kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.