Mnara wa taa wa Preguiças
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mnara wa Taa wa Preguiças)
Mnara wa taa wa Preguiças ni mnara wa taa ambao pia unajulikana kama mnara wa taa wa Mandacaru unapatikana huko Maranhão nchini Brazili.[1] Mnara huo upo katika kijiji cha Mandacaru pembezoni mwa mto Preguiças, ndani ya hifadhi ya Kitaifa ya Lençois. Ulijengwa mnamo mwaka 1940, bado unatembelewa na watalii kila Jumanne, Alhamisi na Jumapili.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Muonekano kutoka mto Preguiças
- Mnara wa taa wa Preguiças na nyumba za walinzi
- preguicas
- Mnara wa taa wa Preguiças
- Preguiças (Mandacaru)
- Mandacaru
- Mnara wa taa Mandacaru
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Centro de Sinalização Náutica Almirante Moraes Rego Ilihifadhiwa 20 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Preguiças kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |