Mnara wa taa Dona Maria Pia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mnara wa Taa Dona Maria Pia)

Mnara wa Taa de Dona Maria Pia (unajulikana pia kama Farol da Ponta Temerosa oau Farol da Praia) ni [mnara wa taa] ambao uko kusini mwa kisiwa cha Santiago, nchiniCape Verde. Umesimama juu ya Rasi ya Ponta Temerosa, katika mlango wa Praia Harbour kilometa 2 kusini mwa mji wa kati wa Praia.

Mnara wa Taa umejengwa mnamo mwaka 1881 na kupewa jina la (Maria) Pia ambae aliekuwa Malkia wa Ureno muda wote. Mnara wenye umbo la pembe kumi una urefu wa mita 21, kilele na kutoka usawa wa bahari. Umepakwa rangi nyeupe.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa Dona Maria Pia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.