Mnara wa taa wa Dona Amélia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa Dona Amelia.

Mnara wa taa wa Farol de D. Amélia pia hujulikana kama farol da ponta Machado, Ponta Machado Mnara wa taa ni mnara wa taa katika eneo la kusini magharibi mwa kisiwa cha São Vicente kaskazini magharibi mwa Cape Verde. Uko magharibi mwa kijiji cha São Pedro, Cape Verde. Mnara huu wa Taa ni mweupe na hutmika pia kama nyumba ya sanaa, una urefu wa mita 14. Mnara huu wa taa ulikamilishwa mnamo mwaka 1894.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Dona Amélia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.