Nenda kwa yaliyomo

Mme Delaval

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mme. Delaval au Madame De La Valle, jina la kuzaliwa Adélaïde-Suzanne-Camille Larrivée (12 Oktoba 1763 – takriban 1804), alikuwa mpiga kinubi (harp), mpiga piano na mtunzi wa muziki wa Ufaransa.

Alizaliwa mjini Paris na wazazi waliokuwa waimbaji wa opera, Henri Larrivée na Marie-Jeanne Larrivée Lemière.[1]

Alikuwa na dada mmoja, Agathe-Elisabeth-Henriette, ambaye alifundishwa fidla, huku Adélaïde akijikita katika kinubi.[2] Wote wawili walikuwa wanafunzi wa Jean-Baptiste Krumpholz.

Baada ya wazazi wao kutengana mwaka 1767, wasichana hao waliinua maisha yao na ya mlezi wao pamoja na shangazi yao, Elisabeth-Henriette Larrivée, kwa kufanya ziara za maonyesho ya muziki katika maeneo mbalimbali ya Ufaransa.

  1. Shaljean, Bonnie; Suchy-Pilalis, Jessica R. (2009). "Delaval [de la Valle, Delavel, De Laval, etc.], Madame [née Adélaïde-Suzanne-Camille Larrivée, L'arrivée]". Grove Music Online (tol. la 8th). Oxford University Press. doi:10.1093/gmo/9781561592630.article.42767. ISBN 978-1-56159-263-0.
  2. Suchy-Pilalis, Jessica (Summer 2009). ["The) Mysterious Madame Delaval: Part I". American Harp Journal. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo 28 Mei 2019. {{cite journal}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)](https://web.archive.org/web/20190528141121/https://www.questia.com/magazine/1G1-204932287/the-mysterious-madame-delaval-part-i|url-status=dead}})
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mme Delaval kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.