Mlima Rainier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya upande wa kusini wa mlima Rainier

Mlima Rainier ni mlima wa jimbo la Washington, Marekani, wenye kimo cha mita 4,392 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Rainier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.