Ol Donyo Sabuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mlima Ol Donyo Sabuk)
Jump to navigation Jump to search
Ol Donyo Sabuk
Ol Donyo Sabuk is located in Kenya
Ol Donyo Sabuk
Ol Donyo Sabuk
Mahali pa Ol Donyo Sabuk katika Kenya
Majiranukta: 1°5′00″S 37°15′00″E / 1.083333°S 37.25°E / -1.083333; 37.25
Nchi Kenya
Kaunti Machakos

Ol Donyo Sabuk ni jina la mlima na la mji wa Kenya katika kaunti ya Machakos.

Pia ni jina la Hifadhi ya Taifa katika eneo hilo.