Mlima Mitchell
Mandhari
Mlima Mitchell ni mlima wa jimbo la North Carolina (Marekani).
Ndio mrefu zaidi katika milima Apalachi (mita 2,037 juu ya usawa wa bahari).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Mitchell kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |