Mlima Magamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Magamba ni kati ya milima ya Usambara iliyoko katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania.

Una urefu wa mita 2,219 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]