Mlima Kinabalu
Mandhari
Mlima Kinabalu ni mlima wenye kimo cha m 4,093 juu ya usawa wa bahari.
Uko Sabah, Malaysia upande wa kisiwa cha Borneo. Ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa hicho na cha Malaysia nzima.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Kinabalu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |