Mlima Kerinci
Mandhari
Mlima Kerinci ni mlima wenye kimo cha m 3,805 juu ya usawa wa bahari.
Uko Indonesia katika kisiwa cha Sumatra.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Kerinci kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |