Mkono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:52, 22 Aprili 2015 na Magioladitis (majadiliano | michango) (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|he}} using AWB (10903))
Sehemu za mkono

Mkono ni kiungo cha mwili kinachoanza kwa bega na kuishia kwenye kiganja na vidole. Huwa na sehemu mbili ambayo ni mkono wa juu na kigasha zinazounganishwa kwa kiwiko au kisugudi.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkono kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.