Mkoa wa Trabzon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:21, 10 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 58 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q388995 (translate me))
Mkoa wa Trabzon
Maeneo ya Mkoa wa Trabzon nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 6,685 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,061,055 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 61
Kodi ya eneo: 0462
Tovuti ya Gavana http://www.trabzon.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/trabzon


Trabzon ni jina la mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Upo kwenye kanda muhimu kabisa, Trabzon ni moja kati ya bandari ya kibiashara ya zamani zamani sana katika miji ya Anatolia. Idadi ya wakazi wa hapa ni 1,061,055 (makadirio ya 2006). Mikoa ya jirani pamoja na Giresun kwa upande wa magharibi, Gümüşhane kwa upande kusini-magharibi, Bayburt kwa upande wa kusini-mashariki na Rize kwa upande mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Trabzon. Mkoa huu ndiyo nyumbani kwa jumuiya ndogo ya Wagiriki Wakiislamu wanaongea lugha ya Kipontiki [1].

Wilaya za mkoani hapa

Trabzon province is divided into 18 districts (capital district in bold):

Historia

Historia ya wakazi

  • 2000 - 979,081
  • 1997 - 858,687
  • 1990 - 795,849
  • 1985 - 786,194
  • 1980 - 731,045
  • 1975 - 719,008
  • 1970 - 659,120
  • 1965 - 595,782
  • 1960 - 532,999
  • 1955 - 462,249
  • 1950 - 420,279
  • 1945 - 395,733
  • 1940 - 390,733
  • 1935 - 360,679
  • 1927 - 290,303

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Trabzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.