Mkoa wa Sinop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:28, 21 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q134413 (translate me))
Mkoa wa Sinop
Maeneo ya Mkoa wa Sinop nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 5,862 (km²)
Idadi ya Wakazi 185,891 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 57
Kodi ya eneo: 0484
Tovuti ya Gavana http://www.sinop.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/sinop


Sinop ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika eneo la Bahari Nyeusi. Mji umechukua eneo la kilomita za mrabva zipatazo 5,862. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kastamonu kwa upande wa magharibi, Çorum kwa upande kusini, na Samsun kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wa mkoa huu ni Sinop.

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Sinop umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sinop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.