Mkoa wa Pwani, Kamerun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa Pwani, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini, kwenye Bahari ya Atlantiki.

Mkoa huo una wakazi 3,354,978 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 20,248.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pwani, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.