Mkoa wa Oti
Mandhari
Mkoa wa Oti ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.
Eneo lake ni la kilomita ya mraba 11,066.
Makao makuu ni Dambai.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |