Mkoa wa Muchinga
Mandhari

Mkoa wa Muchinga ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 922,212 kwenye eneo la km² 87,806. Mji mkuu ni Chinsali.
Mkoa umegawanywa katika wilaya 8: Chinsali, Isoka, Kanchibiya, Lavushimanda, Mafinga, Mpika, Nakonde, Shiwang'andu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Summary report for the 2010 Census of population (PDF) (Ripoti). Lusaka: Central Statistical Office, Republic of Zambia. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-10-26.
10°00′S 32°00′E / 10.000°S 32.000°E
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Zambia map showing the province borders". Thomas Brinkhof. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() | |
---|---|
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Muchinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |