Mkoa wa Menaka


Menaka (kwa Kibambara Menaka Dineja) ni mkoa wa Mali ulioundwa kisheria mwaka 2012 kutoka sehemu ya mashariki ya Mkoa wa Gao. [1] [2]
Uuanzishwaji halisi wa mkoa huo ulifanyika tarehe 19 Januari 2016 kwa kumteua Daouda Maïga kama gavana wa mkoa.[3] [4] Wajumbe wa baraza la mpito wa mkoa waliteuliwa tarehe 14 Oktoba 2016. [5]
Mkoa umegawanyika katika wilaya (cercles) nne: Anderamboukane, Inekar, Tidermene, na Menaka, eneo la mji mkuu, pia hujulikana Menaka. [3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ LOI No 2012-017 DU 02 MARS 2012 PORTANT CREATION DE CIRCONSCRIPTIONS ADMINISTRATIVES EN REPUBLIQUE DU MALI. Journal officiel de la République du Mali (2 March 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.
- ↑ Report of the Secretary-General on the situation in Mali. MINUSMA (28 March 2016). Iliwekwa mnamo 21 February 2017.
- ↑ 3.0 3.1 Régionalisation: Deux Nouvelles régions créées au Mali. Malijet (21 January 2016). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-02-22. Iliwekwa mnamo 21 February 2017.
- ↑ Nomination: Ménaka fête déjà son Gouverneur. Maliweb (30 January 2016). Iliwekwa mnamo 21 February 2017.
- ↑ Report of the Secretary-General on the situation in Mali. MINUSMA (30 December 2016). Iliwekwa mnamo 21 February 2017.