Mkoa wa Manzini
Mandhari
Mkoa wa Manzini ni mkoa wa Eswatini, upande wa magharibi. Una eneo la km2 4,093 na wakazi 374,293 (sensa ya mwaka 2023). Makao makuu ni Manzini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Manzini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |