Mkoa wa Kars
Mkoa wa Kars | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kars nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 9,587 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 287,106 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 36 |
Kodi ya eneo: | 0474 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kars.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kars |
Kars ni jina la mkoa (Kituruki: il) wa Uturukiy. Upo katika sehemu ya kaskazini mashariki ya nchi. Unatumia pamoja sehemu ya mpaka wake na nchi ya Jamhuri ya Armenia.
Wilaya za mkaoni hapa
Mkoa wa Kars umegawanyika katika wilaya 8 (ilçe):
Marejeo
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |