Mkoa wa Karabük
Mkoa wa Karabük | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Karabük nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 2420 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 200,508 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 78 |
Kodi ya eneo: | 0370 |
Tovuti ya Gavana | http://www.karabuk.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/karabük |
Karabük ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki.
Mji mkuu wake ni Karabük ambao upo kilomita 200 kaskazini mwa mji wa Ankara na takriban kilomita 100 kutoka kusini mwa pwani ya Bahari Nyeusi.
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Karabük katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- media kuhusu Mkoa wa Karabük pa Wikimedia Commons
- Karabük municipality official web site (Kituruki)
- Karabuk Guide
- Eflani News (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karabük kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |