Mkoa wa Gümüşhane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manispaa ya Gümüşhane


Mkoa wa Gümüşhane
Maeneo ya Mkoa wa Gümüşhane nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 6,575 (km²)
Idadi ya Wakazi 191,474 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 29
Kodi ya eneo: 0406
Tovuti ya Gavana http://www.gümüşhane.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/gümüşhane

Gümüşhane ni jina la kutaja mkoa uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki, umepakana na Bayburt kwa upande wa mashariki, Trabzon upande wa kaskazini, Giresun na Erzincan kwa upande wa magharibi. Umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,575 na una wakazi takriban 191,474 mnamo mwaka wa 2006. Wakazi wake awali walikuwa 186,953 (2000).

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Gümüşhane umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gümüşhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.