Mkoa wa Giresun
Mkoa wa Giresun | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Giresun nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,934 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 523,819 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 28 |
Kodi ya eneo: | 0454 |
Tovuti ya Gavana | http://www.giresun.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/giresun |
Giresun ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika pwani ya Bahari Nyeusi. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Trabzon kwa upande wa mashariki, Gümüşhane kwa upande wa kusini-magharibi, Erzincan kwa upande wa kusini, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa magharibi. Mji mkuu wake ni Giresun.
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Giresun umegawanyika katika wilaya 16 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- (Kiingereza)All about Giresun and its hinterland
- (Kituruki) the governorate official website
- (Kiingereza) Giresun Weather Forecast Information
- (Kituruki) local news
- (Kituruki) local information website
- (Kituruki)photos of Giresun
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Giresun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |