Mkoa wa Eskişehir
Mkoa wa Eskişehir | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Eskişehir nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 13,652 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 741,739 (2008) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 26 |
Kodi ya eneo: | 0222 |
Tovuti ya Gavana | http://www.eskişehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/eskişehir |
Eskişehir (inatafsiriwa kama: mji wa kale) ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopatikana na mkoa huu ni pamoja na Bilecik kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kütahya kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kusini-magharibi, Konya kwa upande wa kusini, Ankara kwa upande wa mashariki, na Bolu kwa upande kaskazini. Mji mkuu wake ni Eskişehir.
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Eskişehir umegawanyika katika wilaya 14:
- Alpu
- Beylikova
- Çifteler
- Odunpazarı
- Tepebaşı
- Günyüzü
- Han
- İnönü
- Mahmudiye
- Mihalgazi
- Mihalıççık
- Sarıcakaya
- Seyitgazi
- Sivrihisar
Viungo vya Nje
- (Kiingereza) Anadolu University in Eskişehir
- (Kiingereza) Eskişehir Osmangazi University
- (Kiingereza) Eskişehir Weather Forecast
- Eskişehir Valiliği
- Eskişehir Büyükşehir Belediyesi
- Eskişehir Emniyet Müdürlüğü
- Eskişehir Barosu
- Eskişehir Organize Sanayi Bölgesi
- 9. Bölge Eskişehir Eczacı Odası
- Eskişehir Vergi Dairesi Başkanlığı
- MMO Eskişehir Şubesi
- Ticaret Odası
- Eskişehir İl Özel İdaresi
- Eskişehir Büyükşehir Belediyesi Senfoni Orkestrası Information
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Eskişehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |