Mkoa wa Centre, Burkina Faso
Mandhari
Mkoa wa Centre ulipatikana nchini Burkina Faso ukiwa na mji mkuu, Ouagadougou.
Kati ya mikoa 13 ya nchi hiyo hadi Julai 2025, ulikuwa ndio wenye wakazi wengi zaidi (zaidi ya milioni 3 mwaka 2019[1]).
Eneo lake lilikuwa la kilometa mraba 2,805.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Citypopulation.de Population of regions in Burkina Faso
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Centre, Burkina Faso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |