Mkia wa Ng'ombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkia wa Ng'ombe Ruins (Magofu ya mji wa Kale wa Mkia wa Ng'ombe ) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba nchini Tanzania.

Makazi haya yalianzishwa karne ya 15 na kutelekezwa katika karne ya 16. Kuna magofu ya msikiti, makaburi na baadhi ya majengo ya mawe. eneo hili liko katika hatari kubwa zaidi ya mmomonyoko.[1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Spear, Thomas (2000). "Early Swahili History Reconsidered". The International Journal of African Historical Studies 33 (2): 257–290. ISSN 0361-7882. doi:10.2307/220649. 
  2. http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/handle/11295/63888/Kessy_The%20economic%20basis%20and%20the%20location%20of%20some%20%20iron%20age%20%20settlements.pdf?sequence=2
  3. http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/handle/11295/63888/Kessy_The%20economic%20basis%20and%20the%20location%20of%20some%20%20iron%20age%20%20settlements.pdf?sequence=2
  4. Fleisher, Jeffrey B. (2010). "Swahili Synoecism: Rural Settlements and Town Formation on the Central East African Coast, A.D. 750–1500". Journal of Field Archaeology 35 (3): 265–282. ISSN 0093-4690. 
  5. Ingrams, W.H. (1967,01,01). Zanzibar: its history and its people (kwa English). Frank Cass & Co., Ltd.  Check date values in: |date= (help)