Mkate wa tapalapa
Mandhari
Mkate wa Tapalapa ni mkate unaopatikana Senegal, Gambia na Guinea. Mkate huo una umbo kama mkate unaopatikana Ufaransa.
Mikate ya Tapalapa huwa inaliwa na maharage, samaki, pamoja na vyakula vingine vya Gambia. Huwa vinauzwa na kuokwa kwenye mitaani. Huwa inauzwa na watu wa kabila la Fula wanaojulikana kwa kubadilishana bidhaa.
Viungo muhimu ni Unga wa ngano na Amira.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |