Mkabidhi (utarakilishi)
Katika utarakilishi, mkabidhi au mkabidhi mtandao (kutoka kitenzi chenye asili ya Kiarabu: kukabidhi; kwa Kiingereza: webmaster) ni mtu mwenye jukumu la kudumisha tovuti moja au zaidi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).