Nanyamba (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mji wa Nanyamba)
Jump to navigation Jump to search

Nanyamba ni mji na halmashauri katika Mkoa wa Mtwara mwenye msimbo wa posta 63213. Maeneo yake yalitengwa na Wilaya ya Mtwara Vijijini mnamo mwaka 2015.[1]

Mnamo mwaka 2015 idadi ya wakazi ilikadiria kuwa 107,112[2].

Nanyambo iko takriban kilomita 70 kutoka Mtwara kwenye barabara A19.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Historia, tovuti ya Halmashauri ya mji Nanyamba, iliangaliwa Oktoba 2020
  2. [Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanyamba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Nanyamba Mjini - Mkoa wa Mtwara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chawi | Dinyecha | Hinju | Kiromba | Kitaya | Kiyanga | Mbembaleo | Milangominne | Mnima | Mnongodi | Mtimbwilimbwi | Mtiniko | Namtumbuka | Nanyamba | Nitekela | Njengwa | Nyundo