Nenda kwa yaliyomo

Mitrush Kuteli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhimitër Pasko (;[1] 13 Septemba 1907 – 4 Mei 1967) alikuwa mwandishi, mkosoaji wa fasihi, na mtafsiri mashuhuri wa Albania.[2] Pamoja na Ernest Koliqi, anachukuliwa kuwa mwanzilishi wa nathari ya kisasa ya Kialbania; katika Fasihi ya Albania, jina lake la kisanii (jina la kalamu) lililompa umaarufu mkubwa lilikuwa Mitrush Kuteli.[3]

  1. Robert Elsie (2010). "Kuteli, Mitrush". Historical Dictionary of Albania. Scarecrow Press. uk. 256. ISBN 9780810873803.
  2. Shatro, Bavjola (2016). Between(s) and Beyond(s) in Contemporary Albanian Literature. Cambridge Scholars Publishing. uk. 44. ISBN 9781443899970.
  3. Hamiti, Sabri (2013). Letërsia moderne shqipe. Tiranë: Uet press. uk. 413. ISBN 9789995639457.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitrush Kuteli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.