Nenda kwa yaliyomo

Mito mirefu ya Ulaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabeseni ya utirishaji kwenye bara la Ulaya.

Hii ni orodha ya mito mirefu ya Ulaya.

Nafasi

kufuatana na urefu

Jina Urefu
(km)
Mdomo Unaishia kwenye
(km²)
Mkondo
(m³/s)
Kiasi cha mshuko kieneo
(l/s·km²)
1 Volga 3530 Bahari Kaspi 1.360.000 8064 5,93
2 Danubi 2845 Bahari Nyeusi 795.686 6700 8,42
3 Dnepr 2285 Bahari Nyeusi 531.817 1670 3,14
4 Don 1870 Ghuba ya Asov 425.600 935 2,20
5 Pechora 1802 Ghuba ya Pechora 322.000 4379 13,60
6 Dnestr 1352 Bahari Nyeusi 72.100 310 4,30
7 Rhine 1233 Bahari ya Kaskazini 185.000 2300 12,59
8 Elbe [1] 1094 Bahari ya Kaskazini 148.268 870 5,87
9 Vistula 1047 Bahari Baltiki 194.424 1080 5,55
10 Oder na Warthe 1045 Bahari Baltiki 118.861 574 4,83
11 Düna 1020 Bahari Baltiki 88.000 678 7,71
12 Tajo 1007 Bahari Atlantiki 80.600 440 5,46
13 Loire 1004 Bahari Atlantiki 117.480 930 7,92
14 Memel 937 Bahari Baltiki 98.200 616 6,27
15 Ebro 910 Bahari ya Kati 85.362 426 5,13
16 Duero 897 Bahari Atlantiki 98.400 700 7,11
17 Maas 874 Bahari ya Kaskazini 33.000 357 10,80
18 Oder 866 Bahari Baltiki 118.861 574 4,83
19 Bug ya Kusini 857 Bahari Nyeusi 63.740 160 2,51
20 Rhone 812 Bahari ya Kati 95.500 1800 18,85
21 Seine 777 Mfereji wa Uingereza 79.000 560 7,09
22 Weser na Werra 752 Bahari ya Kaskazini 41.094 324 7,88
23 Dwina ya Kaskazini 744 Bahari Nyeupe 357.052 3490 9,77
24 Guadiana 742 Bahari Atlantiki 67.733 600 8,86
25 Göta älv na Klarälven na Vänern 720 Kattegat 50.229 575 11,45
26 Guadalquivir 657 Bahari Atlantiki 56.978 164 2,88
27 Po 652 Bahari ya Adria 75.000 1540 20,53
28 Garonne 647 Bahari Atlantiki 55.000 631 11,47
29 Glomma 601 Bahari ya Kaskazini 41.917 698 16,65
30 Kemijoki 550 Bahari Baltiki 51.127 556 10,87
31 Dalälven 542 Bahari Baltiki 28.955 379 13,09
32 Mariza 525 Bahari ya Kati 52.900 110 2,08
33 Ångermanälven 490 Bahari Baltiki 31.864 485 15,22
34 Ume älv 470 Bahari Baltiki 26.815 435 16,22
35 Torne älv 470 Bahari Baltiki 40.131 381 9,49
36 Kalixälven 461 Bahari Baltiki 18.130 290 16,00
37 Lule älv 450 Bahari Baltiki 25.240 556 22,09
38 Ljusnan 439 Bahari Baltiki 19.828 230 11,60
39 Indalsälven 430 Bahari Baltiki 26.726 460 17,21
40 Etsch 415 Bahari ya Adria 12.200 235 19,26
41 Skellefte älv 410 Bahari Baltiki 11.731 157 13,38
42 Tiber 405 Bahari ya Kati 17.375 239 13,76
43 Piteälven 400 Bahari Baltiki 11.285 160 11,18
44 Ljungan 399 Bahari Baltiki 12.851 140 10,89
45 Vardar 388 Bahari ya Kati 24.438 136 5,57
46 Ems 371 Bahari ya Kaskazini 13.160 125 9,5
47 Shannon 370 Bahari Atlantiki 15.695 208 13,0
48 Schelde 360 Bahari ya Kaskazini 21.863 127 18
49 Severn 354 Bahari Atlantiki 11.420 61 5,34
50 Themse 346 Bahari ya Kaskazini 12.935 65,8 5,09
51 Mto Trent 297 Bahari ya Kaskazini 10.452 99 9,5
52 Great Ouse 270 Bahari ya Kaskazini 8.530 35 4,1
53 Neretva 225 Bahari ya Adria 5.581 378 67,73
54 Mto Ouse 208 Bahari ya Kaskazini 3.315 44 13,3
55 Tagliamento 170 Adria 2.900 70 24,1
56 Isonzo 136 Adria 3.400 170 50,0
57 Narva 77 Bahari Baltiki 56.200 415 7,38
58 Newa 74 Bahari Baltiki 281.000 2500 8,90