Nenda kwa yaliyomo

Miriam Olusanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miriam Olusanya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Guaranty Trust, na kuwa mwanamke wa kwanza kabisa kushikilia wadhifa huo. Alichukua nafasi hio mnamo Julai 2021.[1]

Miriam Olusanya ni mhitimu wa Dawa kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan. Ana shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara (MBA) kutoka Chuo Kikuu cha Liverpool.[2]

Miriam aliungana na GTB kama mfanyakazi mtendaji mwanzoni mwaka 1998 na alikuwa katika nafasi za Mkaguzi Mkuu wa Kundi na Kiongozi wa Benki ya Jumla kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa GTB, nafasi iliyokuwa inashikiliwa awali na Segun Agbaje. Pia anahudumu kwenye Bodi ya Guaranty Trust Bank (Gambia) Limited kama mkurugenzi asiye mtendaji (non-executive director).[3][4]

Mafanikio na heshima

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2023, Olusanya alipewa tuzo ya kitaifa ya Afisa wa Agizo la Niger (OON) na Rais Muhammadu Buhari.[5]

  1. Victor Ogunyinka (2021-07-15). "Miriam Olusanya becomes first female GTBank Managing Director". Vanguard News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-01-22.
  2. Nike Popoola (2021-07-14). "GTB appoints Miriam Olusanya as first female managing director". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-22.
  3. Eniola Olatunji (2025-02-07). "How Nigerian women are outperforming in banking services". Businessday NG (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-22.
  4. Nike Popoola (2021-07-14). "GTB appoints Miriam Olusanya as first female managing director". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-22.
  5. The Nation (2023-05-28). "Full list of 2023 National Honours recipients". The Nation Newspaper (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miriam Olusanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.