Miriam Ikejiani-Clark
Mandhari
Miriam Odinchezo Iruaku Ikejiani-Clark (1949 - 2011) alikuwa Profesa wa Nigeria wa Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Nigeria, Nsukka (UNN), Jimbo la Enugu, ambaye pia alihudumu kama Waziri wa Nchi wa Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho (FCT - Abuja). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Edet, Hope (2017-03-08). "IKEJIANI-CLARK, Prof. Mariam Idinchezo". Biographical Legacy and Research Foundation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-05-09.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Miriam Ikejiani-Clark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |