Minki van der Westhuizen
Mandhari

Willemien "Minki" van der Westhuizen (alizaliwa 26 Februari, 1984) ni mwanamitindo na mwasilishaji wa televisheni kutoka nchini Afrika Kusini.[1]
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Van der Westhuizen alizaliwa Durbanville, karibu na mji wa Cape Town, Afrika Kusini, katika familia ya Kiafrikaans. Alisoma katika Shule ya Sekondari ya Stellenberg, iliyoko karibu na Bellville.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stellenberg High School". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-16. Iliwekwa mnamo 2008-11-28.
- ↑ "There's more to Minki". News24. 30 Septemba 2003. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2013.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "SA's most gorgeous exports". iafrica.com. Iliwekwa mnamo 19 Aprili 2011.
Minki van der Westhuizen modelled internationally for fashion label Guess before appearing in magazines such as SA Sports Illustrated Swimwear Edition, FHM and Glamour.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Minki van der Westhuizen: Biography". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Septemba 2010. Iliwekwa mnamo 2008-11-28.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Minki van der Westhuizen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |