Mimi Arnold
Mandhari
Mimi Arnold (anajulikana pia kwa jina lake la ndoa Mary Arnold-Wheeler; alizaliwa 27 Februari 1939) ni mchezaji wa zamani wa tenisi kutoka Marekani. Alikuwa akicheza tenisi kwa ushindani mkubwa mwishoni mwa miaka ya 1950 na katika miaka ya 1960.r[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jim Gallagher; William Love (Juni 8, 2007). "Mimi Arnold was way ahead of her time on the tennis court". East Bay Times.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mimi Arnold kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |