Nenda kwa yaliyomo

Milton Nascimento

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milton Nascimento

Nascimento mwaka 2008
Amezaliwa 26 Oktoba 1942 (1942-10-26) (umri 83)
Rio de Janeiro, Brazili
Majina mengine Bituca
Kipindi 1962–2025

Milton Silva Campos do Nascimento (alizaliwa Oktoba 26, 1942),[1] anayejulikana pia kama Bituca,[2] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpiga ala mbalimbali za muziki kutoka nchini Brazil.

Nascimento amerekodi albamu 32 za studio na ameshinda Tuzo tano za Grammy, ikiwa ni pamoja na Albamu Bora ya Muziki wa Dunia (Best World Music Album) kwa ajili ya albamu yake ya Nascimento mnamo mwaka 1998,[3] pamoja na Tuzo kumi na mbili za Muziki za Brazil.[4] Ameshirikiana na wasanii mbalimbali wakiwemo Björk, Pat Metheny, Caetano Veloso, na Elis Regina.

  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (tol. la First). Guinness Publishing. ku. 1793, 1794. ISBN 0-85112-939-0.
  2. "Por que o apelido de Milton Nascimento é Bituca?" [Why is Milton Nascimento's nickname Bituca?]. Rolling Stone (kwa Kireno (Brazili)). UOL. Novemba 26, 2022. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2023.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Pires, Cláudia (Februari 27, 1998). "Música: "Nascimento" ganha Grammy em NY". Folha de S.Paulo. Iliwekwa mnamo Novemba 26, 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Brazilian Music Awards – Awarded Artists – Milton Nascimento". Prêmio da Música Brasileira (kwa Kireno (Brazili)).