Millennium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Millennium
Millennium Cover
Kasha ya alabamu ya Millenniem.
Studio album ya Backstreet Boys
Imetolewa 18 Mei 1999
Imerekodiwa 3 Oktoba 1998—Machi 1999
Aina Pop
Urefu 48:11
Lugha Kiingereza
Lebo Jive
Mtayarishaji Max Martin
Kristian Lundin
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Backstreet Boys
Backstreet Boys (US)
(1997)
Millennium
(1999)
Black & Blue
(2000)
Single za kutoka katika albamu ya Millennium
  1. "I Want It That Way"
    Imetolewa: 16 Aprili 1999
  2. "Larger than Life"
    Imetolewa: 3 Septemba 1999
  3. "Show Me The Meaning of Being Lonely"
    Imetolewa: 10 Desemba 1999
  4. "The One"
    Imetolewa: 30 Mei 2000


Millennium ni albamu kutoka kundi la wanamuziki wa Marekani. Backstreet Boys. Ilivunja rekodi nyingi duniani, na ni moja ya albamu yenye mauzo bora kote duniani, ikiuza zaidi ya nakala milioni 40. Hii albamu ndiyo iliyokuwa albamu yenye mafanikio zaidi kuotka kwa Backstreet Boys hadi leo. Albamu hii ilingonjewa kwa hamu baada ya wao kutoa United States debut album. Ilichaguliwa kwa tuzo tano za Grammy Awards, na single zake nne zilifika kwenye Top 40 ikiwemo single iliyovuma kote duniani ya "I Want It That Way". Millennium iliuza nakala milioni 1.2 katika wiki ya kwanza. Millennium ilithibitishwa platinum kwa nchi takriban 45, na kuuza nakala milioni 40.[1]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Millennium ilikuwa namba 1 kwenye Billboard 200, na ilikaa papo hapo kwa muda wa wiki kumi mfululizo. Iliuza nakala 1,134,000 kwenye wiki ya kwanza, na iliuza takriban nakala 500,000 kwenye siku ya kwanza nchini Marekani - na kuvunja rekodi ya mauzo bora kwenye siku ya kwanza.[2] Rekodi hii ilivunjwa na Britney Spears mnamo 2000, alipotoa nyimbo yake ya Oops!... I Did It Again,[3].

Millennium ilikuwa albamu yenye mauzo bora mwaka wa 1999, kwa kuuza nakala 9,445,732.[4] Millenium ilikaa kwenye chati ya Billboard kwa wiki 93, na mwishowe kuuza nakala milioni 12 nchini Marekani na kuthibitishwa platinum mara kumi na tatu..[5]

Millennium ilikuwa kwenye chati kote duniani, kwenye nchi kama Austria, Belgium, Canada, Denmark, Germany, Greece, the Netherlands, Hong Kong, Iceland, India, Indonesia, Italy, Korea, Malaysia, Mexico, New Zealand, Norway, Philippines, Portugal, Singapore, Spain, Sweden, Switzerland, Taiwan na Thailand.

Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]

  1. "Larger than Life" (Max Martin, Kristian Lundin, Brian Littrell) – 3:52
  2. "I Want It That Way" (Max Martin, Andreas Carlsson) – 3:33
  3. "Show Me the Meaning of Being Lonely" (Max Martin, Herbert Crichlow) – 3:54
  4. "It's Gotta Be You" (Max Martin, Robert John "Mutt" Lange) – 2:56
  5. "I Need You Tonight" (Andrew Fromm) – 4:23
  6. "Don't Want You Back" (Max Martin) – 3:25
  7. "Don't Wanna Lose You Now" (Max Martin) – 3:54
  8. "The One" (Max Martin, Brian Littrell) – 3:46
  9. "Back to Your Heart" (Gary Baker, Jason Blume, Kevin Richardson) – 4:21
  10. "Spanish Eyes" (Andrew Fromm, Sandy Linzer) – 3:53
  11. "No One Else Comes Close" (Gary Baker, Wayne Perry, Joe Thomas) – 3:42
  12. "The Perfect Fan" (Brian Littrell, Thomas Smith) – 4:13
  13. "I'll Be There For You" (Asian, Japanese & Australian Bonus Track)
  14. "You Wrote The Book On Love" (Australian Bonus Track)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Album

Chati Namba Thibitisho Mauzo
Argentinian Albums Chart 1 120,000
Australian Albums Chart 2[6] 3x Platinum 210,000
Austrian Albums Chart 1[6] Platinum 10,000
Brazilian Albums Chart 1 2x Platinum 500,000
British Albums Chart Platinum 300,000
Canadian Albums Chart 1 Diamond 1,000,000
Dutch Albums Chart 1[6]
European Albums Chart 1 2x Platinum (1999) 3,700,000 (2009-end)
Finnish Albums Chart 1[6] 45,000
French Albums Chart 8[6]
German Albums Chart 1 3x Gold 300,000+
Mexican Albums Chart 1 5x Platinum 850,000
Norwegian Albums Chart 1[6] 30,000
Polish Albums Chart Gold 20,000
Swiss Albums Chart 1[6]
U.S. Billboard 200 1 13x Platinum 13,800,000

Singles

Mwaka Single Chati Namba
1999 "I Want It That Way" The Billboard Hot 100 6
1999 "I Want It That Way" Adult Contemporary 1
1999 "I Want It That Way" UK Singles Chart 1
1999 "Larger Than Life" The Billboard Hot 100 25
1999 "Larger Than Life" UK Singles Chart 5
1999 "Show Me the Meaning of Being Lonely" The Billboard Hot 100 6
2000 "Show Me the Meaning of Being Lonely" UK Singles Chart 3
2000 "The One" The Billboard Hot 100 30
2000 "The One" UK Singles Chart 8

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]