Nenda kwa yaliyomo

Milimita ya ujazo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milimita ya ujazo ni kipimo cha mjao kinacholingana na mchemraba wenye urefu, upana na kimo cha milimita 1.

Alama yake ni mm³.

Hii ni sawa na sehemu ya bilioni ya mita ya ujazo na sawa na mikrolita (μl).

1 mm³ ni sawa na

au kinyume:

  • 1 cm³ = 1 000 mm³
  • 1 dm³ = 1 000 000 mm³
  • 1 m³ = 1 000 000 000 mm³

1 mm³ inaweza kutaja vipimo vya lita hivi:

au kinyume

  • 1 mililita = 1 000 mm³
  • 1 sentilita = 10 000 mm³
  • 1 desilita = 100 000 mm³
  • 1 lita = 1 000 000 mm³
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milimita ya ujazo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.