Mlima Oldoinyo Orok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Milima ya Namanga)

Mlima Oldoinyo Orok ni kati ya milima iliyoko katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya lakini unaenea hadi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

Una urefu wa mita 2,548 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Oldoinyo Orok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.