Milima Golis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miguuni pa Milima Golis.

Milima Golis ni safu ya milima ya Somalia (Pembe ya Afrika).

Urefu wake unafikia hadi mita 1,371 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Golis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.