Miliana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miliana
Miliana

Miliana ni mji kwenye mkoa wa Aïn Defla kaskazini-mashariki mwa Algeria, ni mji wa kiutawala wa wilaya wenye jina hilohilo. Upo takribani kilomita 114 kusini-magharibi mwa mji mkuu wa Algeria, Algiers.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Miliana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.