Nenda kwa yaliyomo

Mikoa na wilaya za Uajemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mikoa na wilaya za Uajemi

Mikoa na wilaya za Uajemi ni vitengo vya utawala wa nchi hiyo. Uajemi imegawiwa kwa mikoa 30 inayoitwa kwa Kifarsi ostān ( استان wingil استان‌ها ostānhā). Kila mmoja huwa na makao makuu yake ambayo kwa kawaida yako kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuitwa مرکز markaz au kitovu cha mkoa. Mkuu wa mkoa anaitwa ostandar anateuliwa na waziri wa mambo ya ndani kwa kibali cha halmashauri ya mawaziri. Mikoa hugawiwa kwa wilaya zinazoitwa "shahrestan".

Jedwali la mikoa ya Uajemi[hariri | hariri chanzo]

Mkoa (ostan) Makao
makuu
(merkezi)
Eneo
(km²)[1]
Idadi ya
wakazi[2]
Msongamano
wa watu
(idadi kwa km²)
Idadi ya wilaya
(shahrestan)
mkoani
Ardabil[3] Ardabil 17,800 1,257,624 70.7 9
Azarbaijan Mashariki Tabriz 45,650 3,500,183 76.7 19
Azarbaijan Magharibi Urmia[4] 37,437 2,949,426 78.8 14
Bushehr[5] Bushehr 22,743 816,115 35.9 9
Chahar Mahaal na Bakhtiari[6] Shahrekord 16,332 842,002 51.6 6
Fars Shiraz 122,608 4,385,869 35.8 23
Guilan Rasht 14,042 2,410,523 171.7 16
Golestan[7] Gorgan 20,195 1,637,063 81.1 11
Hamadan[8] Hamadan 19,368 1,738,772 89.8 8
Hormozgan[9][10] Bandar Abbas 70,669 1,314,667 18.6 11
Ilam[8] Ilam 20,133 545,093 27.1 7
Isfahan[11] Isfahan 107,029 4,454,595 41.6 21
Kerman Kerman 180,836 2,432,927 13.5 14
Kermanshah[12] Kermanshah[12] 24,998 1,938,060 77.5 13
Khorasan Kaskazini[13] Bojnourd 28,434 786,918 27.7 6
Khorasan Razavi[13] Mashhad 144,681 5,202,770 36.0 19
Khorasan Kusini[13] Birjand 69,555 510,218 7.3 4
Khuzestan Ahvaz 64,055 4,345,607 67.8 18
Kohgiluyeh na Boyer-Ahmad[14][15] Yasuj 15,504 695,099 44.8 5
Kurdistan[16] Sanandaj 29,137 1,574,118 54.0 9
Lorestan[14] Khorramabad 28,294 1,758,628 62.2 9
Markazi[17][11] Arak 29,130 1,361,394 46.7 10
Mazandaran Sari 23,701 2,818,831 118.9 15
Qazvin[18] Qazvin 15,549 1,166,861 75.0 5
Qom[19] Qom 11,526 1,064,456 92.4 1
Semnan[17][11] Semnan 97,491 589,512 6.0 4
Sistan na Baluchistan[20] Zahedan 181,785 2,290,076 12.6 8
Teheran[21] Tehran 18,814 12,150,742 645.8 13
Yazd[6][22] Yazd 129,285 958,318 7.4 10
Zanjan[16][11] Zanjan 21,773 970,946 44.6 7
Iran Tehran 1,628,554 68,467,413 42.0 324

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Statistical Centre, Government of Iran. ""General Characteristics of Ostans according to their administrative divisions at the end of 1383 (2005 CE)"". Iliwekwa mnamo 2006-04-30.
 2. Statistical Centre, Government of Iran. ""Population estimation by urban and rural areas, 2005"". Iliwekwa mnamo 2006-04-30.
 3. Until 1993, Ardabil was part of East Azarbaijan province.
 4. Until 1979, the city was known as Rezaiyeh.
 5. Originally part of Fars province. Until 1977, the province was known as Khalij-e Fars (Persian Gulf).
 6. 6.0 6.1 Originally part of Isfahan province.
 7. On 1997-05-31, the shahrestans of Aliabad, Gonbad-e-kavus, Gorgan, Kordkuy, Minudasht, na Torkaman were separated from Mazandaran province to form Golestan province.
 8. 8.0 8.1 Originally part of Kermanshah province.
 9. Originally part of Kerman province. Until 1977, the province was known as Banader va Jazayer-e Bahr-e Oman (Ports and Islands of the Sea of Oman).
 10. Hormozgan includes several islands such as Qeshm, Lavan, Kish na Hormoz as well as Abu Musa island which is jointly administered by Iran na the United Arab Emirates.
 11. 11.0 11.1 11.2 11.3 Mwaka 1986 sehemu za mkoa wa Markazi zilihamishwa kwenda mikoa ya Isfahan, Semnan, na Zanjan.
 12. 12.0 12.1 Between 1979 na 1995 Kermanshah province na its capital, were both known as Bakhtaran.
 13. 13.0 13.1 13.2 On 2004-09-29, Khorasan was divided into three provinces. North Khorasan; Razavi Khorasan; South Khorasan.
 14. 14.0 14.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Khuzestan.
 15. Hadi 1990 mkoa ulijulikana kwa jina la Bovir Ahmadi na Kohkiluyeh.
 16. 16.0 16.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Gilan
 17. 17.0 17.1 Kiasili sehemu ya mkoa wa Mazandaran.
 18. Mwaka 1996 shahrestan za Qazvin na Takestan zilitengwa na mkoa wa Zanjan kwa kuanzisha mkoa mpya wa Qazvin.
 19. Hadi 1995 Qom ilikuwa shahrestan wa mkoa wa Teheran.
 20. Hadi 1986 mkoa ulijulikana kwa jina la Baluchistan na Sistan.
 21. Hadi 1986 Tehran ilikuwa sehemu ya mkoa wa Markazi .
 22. 1986 sehemu ya mkoa wa Kerman ilihamishwa Yazd. Mwaka 2002 wilaya ya Tabas (eneo: 55,344 km²) ilihamishwa kutoka Khorasan kwenda Yazd.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: