Miguel Obando y Bravo
Mandhari
Miguel Obando y Bravo, S.D.B. (2 Februari 1926 – 3 Juni 2018) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Nikaragua. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Managua kuanzia 1970 hadi 2005. Papa Yohane Paulo II alimteua kuwa kardinali mwaka 1985.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Dionne Jr., E.J. (26 Mei 1985). "28 Consecrated 'Princes of the Church'". The New York Times. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |