Miguel Layún

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miguel Layún

Miguel Layún (alizaliwa 25 Juni 1988) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza katika klabu ya Hispania Villarreal na timu ya taifa ya Mexiko.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Layún alianza kazi yake mwaka 2006 na klabu ya Veracruz, na mwaka 2009 alisainiwa katika klabu ya Italia iitwayo Atalanta, akiwa mchezaji wa kwanza wa Mexico kucheza katika ligi ya Serie Aiiliyopo nchini Italia.

Alirejea Mexico mwaka 2010 kabla ya kujiunga na Granada mwishoni mwa Desemba 2014 na hivi karibuni baada yam kujiunga na Watford mwezi Januari 2015. Mwaka 2018, alijiunga na Sevilla kwa mkopo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miguel Layún kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.