Nenda kwa yaliyomo

Miguel Ángel Ayuso Guixot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ayuso Guixot (wa nne kutoka kushoto) katika ufunguzi wa Kituo cha Mazungumzo ya Kidini na Kiutamaduni huko Vienna, 26 Novemba 2012.

Miguel Ángel Ayuso Guixot, MCCJ (alizaliwa 7 Juni 195225 Novemba 2024) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Uhispania na mwanahistoria wa Uislamu. Alikuwa afisa wa Curia ya Roma tangu mwaka 2012 akawa askofu mkuu mwaka 2016.

Papa Fransisko alimpandisha hadhi kuwa kardinali tarehe 5 Oktoba 2019, cheo alichoshikilia hadi kifo chake mwaka 2024.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.